Leave us a message

St. Augustine Secondary School - Dar Es Salaam

Location kinondoni Motto Country Tanzania
Review School

You can read other people reviews or submit your own once you sign in to your account.

Shule hii ni ya Kanisa Katoliki inayomilikiwa na Shirika la Mt. Augustino (OSA). Shule hii inaendeshwa kwa kufuata taratibu zote za wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, yaani sharia ya Elimu Na. 25 ya 1978 na marekebisho yake ya Na. 10 ya mwaka 1995.
Shule hii ni ya mchanganyiko inapokea wanafunzi wa jinsia zote bila kujali dini, dhehebu, kabila au rangi. Shule hii kwa sasa ni ya kutwa, ila siku zijazo itakuwa ya bweni. Mwaka 2014 itaanza na kidato cha I kwa lengo la kufikia kidato cha VI hapo baadaye.

Contacts

P.O Box 31644 Dar es salaam Tanzania
+255715913972 +

Please sign in to your account or register to submit an enquiry.

Do you like this school?

Share page link

Share through email